KUSANYIKO LA KUMUENZI MAREHEMU ANDREW NICKY SANGA KUFANYIKA KESHO 30.04.2016, TRIPLE 7 KAWE | LUKAZA BLOG

KUSANYIKO LA KUMUENZI MAREHEMU ANDREW NICKY SANGA KUFANYIKA KESHO 30.04.2016, TRIPLE 7 KAWE

Ndugu  zetu pamoja na Marafiki zetu, wakati huu tukiendelea kuomboleza msiba   wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga, tunapenda kutoa shukra...

Ndugu zetu pamoja na Marafiki zetu, wakati huu tukiendelea kuomboleza msiba  wa mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga, tunapenda kutoa shukrani za dhati   kwa ushiriki wenu wa hali na mali katika kuandaa safari yake ya mwisho.


Katika kumuenzi na kukumbuka urafiki wake wa kipekee, Kamati ya Maandalizi ya   Dar es Salaam inawaalika na kuwakaribisha katika kusanyiko la kumuenzi  jioni ya tarehe 30 April 2016 kuanzia saa 11 jioni pale Triple 7 (@777). Kusanyiko hili ni mahsusi kwa mambo mawili makubwa, moja likiwa ni  kukumbuka na kuenzi maisha yake katikati yetu na pili kupashana habari  za kuhitimisha maandalizi ya Safari ya kumuweka katika nyumba yake ya  Milele.Naomba tujumuike wote na tunaamini hata huko aliko atafurahi tunapomkumbuka.


Bwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe


Imetolewa na Dr. George Longopa
KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar ES SALAAM
Simu 0754 870969

Related

Kijamii 7813760699557653236

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item