LA KWETU CONCERT, TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA INJILI 2016 KUFANYIKA NCHINI TANZANIA. | LUKAZA BLOG

LA KWETU CONCERT, TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA INJILI 2016 KUFANYIKA NCHINI TANZANIA.

Linatarajiwa Kufanyika Tamasha Kubwa la Muziki wa Injili hapa nchini. Tamasha hilo limepewa jina la "LA KWETU CONCERT" na litaf...

Linatarajiwa Kufanyika Tamasha Kubwa la Muziki wa Injili hapa nchini. Tamasha hilo limepewa jina la "LA KWETU CONCERT" na litafanyika katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Mwanza, Geita, Kagera, Shinyanga, Mbeya, Arusha, Dar es salaam na mingineyo.

Tamasha hilo linaandaliwa kwa Ushirikiano na Waimbaji wa Muziki wa Injili, Watangazaji na Waandishi wa Habari chini ya Kampuni ya FAMARA INTERTAINMENT ya Jijini Mwanza, ambapo wadau mbalimbali wanakaribishwa ili kufanikisha tamasha hilo ambalo litakuwa la aina yake.

Related

Hot Stories 5544923158268176121

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item