LANCET TANZANIA LIMITED YAWAPIGA MSASA MADAKTARI NA WAUGUZI HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI. | LUKAZA BLOG

LANCET TANZANIA LIMITED YAWAPIGA MSASA MADAKTARI NA WAUGUZI HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI.

Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi...

Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi  wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali.
Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Dkt Ahemd Kalebi wakati wa warsha hiyo iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Dkt Kalebi akisisitiza jambo wakati akizungumzia juu ya ufanyaji wa vipimo kwa magonjwa kama saratani na magonjwa mengine ambayo wagonjwa wengi wamekuwa na tabia ya kwenda kutafuta matibabu nje ya nchi.
Baadhi ya Madaktari na Wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakiwa katika Warsha hiyo.
Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Josephat Bniface akizungumza jambo katika warsha hiyo ya siku moja iliyoenda sanjari na ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet iliyofunguliwa mjini Moshi.
Mtafiti wa magonjwa mbalimbali ,Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na wanahabari kuhusiana na mada aliyowasilisha katika warsha hiyo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Related

Kijamii 8395749910838692651

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item