MDUARA UNAPOCHANGANYWA NA RAGGA JIBU NI "KITIMTIM" (VIDEO) | LUKAZA BLOG

MDUARA UNAPOCHANGANYWA NA RAGGA JIBU NI "KITIMTIM" (VIDEO)

Muziki unakua sana na hivi karibuni wasanii wengi wa hapa nchini wamekuwa wakibuni mitindo ya aina mbalimbali ili kuzifanya kazi zao zien...

Abraham Mtongole
Muziki unakua sana na hivi karibuni wasanii wengi wa hapa nchini wamekuwa wakibuni mitindo ya aina mbalimbali ili kuzifanya kazi zao ziende mbali na kuvuta mashabiki wa muziki nchini na duniani kwa ujumla. Bayo the Great ni msanii wa kizazi kipya aliyewahi kuvuma na wimbo wa hiphop uitwao Jina Kapuni: https://www.youtube.com/watch?v=qncTaBUAL7E Baada ya ngoma hii Bayo alikaa kimya akifanya shule na baadae kuajiriwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na kazi za kijamii kama Solar Aid, The Nature Conservancy, International Citizen Service na Voluntary Service Overseas (VSO) ambako Bayo ameajiriwa mpaka sasa kama Meneja mradi huko Zanzibar.
"Kitimtim" ni wimbo wa mduara wenye vionjo vya ragga uliotayarishwa na producer Mesen Selekta toka studio za De Fatality Dar Es Salaam, video ya Kitimtim ambayo ina comedy story ndani yake imetayarishwa na kampuni ya Focus Films chini ya Nick Dizzo. Unaweza kumsapoti Bayo kwa kutazama hapa chini na kushare wimbo huu na wengine.

Bayo The Great anapatikana kwenye akaunti za mitandao ya kijamii kupitia anuani zifuatazo hapa chini
Twitter: @bayothegreat
Instagram: @bayothegreat
Facebook: Abraham Bayo

Related

Burudani 6494610392003294052

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item