MKUU WA WILAYA YA SIHA AONGOZA WANANCHI KUPANDA MITI SIKU YA MAZINGIRA | LUKAZA BLOG

MKUU WA WILAYA YA SIHA AONGOZA WANANCHI KUPANDA MITI SIKU YA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia anakaimu wilaya ya Hai,Dk Charles Mlingwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimi...

Mkuu wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia anakaimu wilaya ya Hai,Dk Charles Mlingwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya mazingira kwenye chanzo cha uzalishaji umeme cha Kikuletwa kinachosimamiwa na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Makamu wa Chuo hicho(Utawala na Fedha)Mhandisi Dk Erick Mgaya.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Mhandisi Dk Erick Mgaya akipanda mti wakati wa maadhimisho hayo eneo la Kikuletwa wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Said Mderu akipanda mti katika madhimisho hayo.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mkuu wilaya kabla ya kuanza  upandaji miti kwaajili ya kutunza mazingira
Mkazi wa Kikuletwa akisikiliza kwa makini.

Related

kitaifa 1880903909923145532

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item