Mtanzania Kokugonza ang'ara kwenye Series ya EMPIRE. | LUKAZA BLOG

Mtanzania Kokugonza ang'ara kwenye Series ya EMPIRE.

  Koku Gonza Hatimaye Tanzania imeendelea kumake headline tena katika nyanja za kimataifa huku safari hii Tanzania ikijipenyeza kati...


KOKU.jpg 
Koku Gonza

Hatimaye Tanzania imeendelea kumake headline tena katika nyanja za kimataifa huku safari hii Tanzania ikijipenyeza katika Filamu. Mara baada ya Samatta Mbwana kuiteka dunia sasa ni zamu ya Mtanzania wa Kike aliyeonekana katika Tamthilia ya EMPIRE ambayo imeingia katika Season ya 4. Mtanzania huyo aitwaye Kokugonza ameonekana kwenye moja ya scene akimfundisha mwigizaji mwenzake kucheza na Piano. Koku gonza ni mmoja ya msanii wa Kike anayeishi Nchini Marekani huku akiwa na uwezo wa kupiga Piano kwa ufasaha na ustadi wa hali ya juu.

12472352_10205490705336479_2705412072019449767_n-200x200.jpg 
Koku Gonza akiwa na muigizaji mwenzie Hakeem.

Related

Hot Stories 1063290451071787840

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item