MWILI WA MAREHEMU WASHINGTON BENBELLA WAAGWA LEO HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR | LUKAZA BLOG

MWILI WA MAREHEMU WASHINGTON BENBELLA WAAGWA LEO HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kanisani wakati wa kumwombea marehemu Washington Benbella pamoja kuagwa katika kanisa la Hosp...

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kanisani wakati wa kumwombea marehemu Washington Benbella pamoja kuagwa katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
Mustafa Hassanali akimzungumzia marehemu Washington Benbella alivyomjua pamoja na kufanya kazi naye kwenye kwenye kampuni ya Swahili Fashion
Mama mzazi wa Marehemu Washington Benbella akilia kwa uchungu wakati wa kuaga mwili wa mwanae katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili.
Mustafa Hassanali akiaga mwili wa marehemu Washington Benbella wakati wa misa iliyofanyika katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili
Yusuph rafiki mkubwa wa marehemu Washington Benbella akiaga kwa uzini mkubwa
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu Washington Benbella leo katika Hospitali ya Muhimbili
Mwili wa Marehemu Washington Benbella ukitolewa kanisani baada ya kufanyiwa maombi pamoja na kugwa kwa mili huo katika kanisa la Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
Mwili wa Marehemu Washington Benbella ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho tarehe 14 mwezi wa Nne.
Baadhi ya waombolezaji washuhudia tukio la mwili wa Marehemu Washington Benbella ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea wilaya ya Same kwa ajili ya mazishi.

Related

kitaifa 6270475417909740637

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item