News Alert: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malechela atumbuliwa na rais Magufuli | LUKAZA BLOG

News Alert: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malechela atumbuliwa na rais Magufuli

Anna Kilango Malechela Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mku...

Anna Kilango Malechela

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella, kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo kuwa Mkoa wake hauna wafanyakazi hewa.

Pia amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mkoa huo.

HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE.

Related

Hot Stories 2437624040317035719

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item