Obituary: Dada wa Mh Tundu Lissu, Christina Lissu afariki dunia mchana wa leo | LUKAZA BLOG

Obituary: Dada wa Mh Tundu Lissu, Christina Lissu afariki dunia mchana wa leo

Christina Lissu Enzi za Uhai wake Dada wa Mbunge wa Singida Mashariki, Mh Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mh. Christin...

Christina Lissu Enzi za Uhai wake

Dada wa Mbunge wa Singida Mashariki, Mh Tundu Lissu na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mh. Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan Dar. 

Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa cancer tangu mwaka jana. Taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu tutaendelea kuwajuza na kuwataarifu.

Lukaza blog inapenda kutoa pole kwa familia ya Marehemu Christina Lissu pamoja na kwa Mbunge Mh Tundu Lissu kwa kuondokewa na dada yake. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi 
Amen

Related

kitaifa 2994633954796258393

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item