Papa Francis kusafiri kwenda Lesbos | LUKAZA BLOG

Papa Francis kusafiri kwenda Lesbos

Image copyright epa Image caption Papa Francis Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, hii leo anazuru kisiwa cha Lesbos kuonye...

Image copyrightepa
Image captionPapa Francis
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, hii leo anazuru kisiwa cha Lesbos kuonyesha kuwaunga mkono wakimbizi wanaojaribu kufika barani Ulaya.
Papa Francis atasafiri ataandamana na kiongozi wa kanisa la othodox Bartholomeo Constantinople.
Wawili hao watatembelea kambi iliyo kisiwani humo, ambapo wahamiaji zaidi ya 2000 wanazuiliwa, wakisubiri kusafirishwa kwenda Uturuki chini ya makubaliano ya muungano wa ulaya.
Makubaliano hayo yamekosolewa na mashirika ya kutoa misaada na makundi ya kutetea haki za binadamu.Chanzo BBC Swahili

Related

Kimataifa 5260682998271764399

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item