PRINCE ABUU LEVY AACHIA ALBAMU YAKE IITWAYO "NAKUABUDU". | LUKAZA BLOG

PRINCE ABUU LEVY AACHIA ALBAMU YAKE IITWAYO "NAKUABUDU".

Prince Abuu Levy ni Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania, mwenye karama kubwa ya uimbaji hususani uimbaji wa kusifu na kuabudu. K...

Prince Abuu Levy ni Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania, mwenye karama kubwa ya uimbaji hususani uimbaji wa kusifu na kuabudu. Kupitia karama hiyo, anao ujumbe murua kwa ajili yako mwana Mungu kupitia wimbo uliobeba jina la albamu yake uitwao NAKUABUDU.

Ameiambiwa Binagi Blog kwamba "Dvd za Albamu yangu iitwayo Nakuabudu zinapatikana kwa shilingi 5,000 kote nchini ambapo albamu yangu ina nyimbo tano na inasambazwa na Pal Music Service ambao wanapatikana kwa mawasiliano ya simu 0754 742 181 au Email palmusicservice@gmail.com". 

Pakua HAPA Wimbo Uliobeba Albamu au Bonyeza Play Hapa Chini Kusikiliza.
                                                                      Na George Binagi-GB Pazzo

Related

Burudani 7157526175006480833

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item