Roma Mkatoliki afunga pingu za maisha Jijini Tanga | LUKAZA BLOG

Roma Mkatoliki afunga pingu za maisha Jijini Tanga

April 9, 2016 Siku ya jumamosi ni siku ambayo imeingia kwenye historia ya maisha ya Mwanamuziki wa kufokafoka almaarufu HipHop kutoka Nchin...

April 9, 2016 Siku ya jumamosi ni siku ambayo imeingia kwenye historia ya maisha ya Mwanamuziki wa kufokafoka almaarufu HipHop kutoka Nchini Tanzania si mwingine ni Roma Mkatoliki ambae siku hiyo amefunga pingu za maisha na mwandani wake wa siku nyingi ambae walibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Ivan.

Pingu za maisha zilifungwa katika Jiji la Mahaba Kule Tanga kunani mara baada ya bibi harusi kuagwa katika jiji la Maraha Na Karaha la Dar Es Salaam february 2016. Pamoja na ndoa hiyo harusi yake ilihudhuliwa na wakali wa bongo fleva wengi tu huku Kala Jeremiah akiwa best man wa Roma Mkatoliki

Lukaza Blog inawatakiwa maisha mema na ya amani katika Ndoa yao Na Mwenyezi Mungu awalinde na mahasibu yote na awabariki

[​IMG]
[​IMG]


[​IMG]
[​IMG]
[​IMG]
[​IMG]

Kila la Heri Roma Mkatoliki

Related

kitaifa 8291272181232553950

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item