TAASISI YA KUFUNDISHA LUGHA YA "INTERNATIONAL LANGUAGE TRAINING CENTRE" YABORESHA ZAIDI MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA | LUKAZA BLOG

TAASISI YA KUFUNDISHA LUGHA YA "INTERNATIONAL LANGUAGE TRAINING CENTRE" YABORESHA ZAIDI MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA

Charles Mombeki ambae ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa Jijini Mwanza ya "Int...

Charles Mombeki ambae ni Mkurugenzi wa
Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language
Training Centre" akiwa amesimama katika jengo la taasisi hiyo iliyopo Isamilo (barabara ya Mediacal Reseach) Jijini Mwanza.

Mombeki anasema taasisi hiyo imeboresha zaidi mazingira ya kujifusia ili kukidhi mahitaji wasomaji. Pia anaongeza kwamba taasisi hiyo imeboresha mazingira kujifunzia kwa ajili ya Kituo chake cha Elimu ya Makuzi kwa Watoto Wadogo (Day Care Centre) ambapo anawasihi wananchi kutembelea taasisi hiyo ili kunufaika na fursa iliyopo hivi sasa kabla haijafikia ukomo.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language Training Centre" akitoa ufafanuzi kwa wanaohitaji kusoma katika taasisi yake. Pembeni ni eneo rafiki kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya masomo au majadiliano baada ya masomo. 
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language Training Centre" akionyesha baadhi ya maeneo kwa ajili ya michezo ya watoto.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language Training Centre" akionyesha baadhi ya maeneo kwa ajili ya michezo ya watoto.
Wasiliana na International Language Training Centre kwa nambari 0784 66 49 33 au 0754 66 49 33 Bonyeza HAPA Ili Usipitwe.

Related

kitaifa 2563885513728087779

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item