TANZIA: TANGAZO LA MSIBA WA BARAKA KOMBE TANZANIA NA LONDON | LUKAZA BLOG

TANZIA: TANGAZO LA MSIBA WA BARAKA KOMBE TANZANIA NA LONDON

TUNASIKITIKA MNO KUTANGAZA KIFO CHA BARAKA KOMBE (MTANZANIA MWENZETU PICHA YAKE HAPO JUU) KILICHOTOKEA JANA JUMAPILI 03/04/16. MSIBA UKO...

image1
TUNASIKITIKA MNO KUTANGAZA KIFO CHA BARAKA KOMBE (MTANZANIA MWENZETU PICHA YAKE HAPO JUU) KILICHOTOKEA JANA JUMAPILI 03/04/16. MSIBA UKO 88 B TEMPLETON AVENUE, CHINGFORD, LONDON, E4 6SP. MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NA NDUGU ZAKE MAREHEMU NA TUTAWAARIFU BAADAYE KIDOGO.

WAKATI TUKISUBIRI MIPANGO HII, KAMA KAWAIDA YETU, TUNAOMBA KUJUMUIKA KUWAPA NDUGU WA MAREHEMU MSAADA WENU WA HALI NA MALI KATIKA MSIBA HUU MZITO NA WA GHAFLA HUKU TUKITAFAKARI NI NJIA YA KILA MTU.

TUNAOMBA KANA INAWEZEKANA ALIYEGUSWA NA MSIBA HUU ATOE MCHANGO WAKE KWA:
MS SARA A TEMU
SANTANDER
ACCOUNT NUMBER 46132094
SORT CODE 09 01 28
KWA TAARIFA ZAIDI NAOMBA MUWASILIANE NA :
MARIAM. 07913978572
SARA. 07996711918
JESTINA. 07557304940
MAKYAO. 07983901141
HOYCE TEMU +255682262627 or +255767262625
ASANTENI. MUNGU AWABARIKI SANA KWA MISAADA YENU YA HALI NA MALI.

Related

Kijamii 5593223900719452889

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item