TBL Group yachangia mradi wa elimu Dar es Salaam | LUKAZA BLOG

TBL Group yachangia mradi wa elimu Dar es Salaam

  Baadhi ya magari ya wafanyakazi yakioshwa kwa ajili ya kuchangia mradi wa elimu Kampuni ya TBL Group imeunga mkono mradi wa kuend...

 Baadhi ya magari ya wafanyakazi yakioshwa kwa ajili ya kuchangia mradi wa elimu
Kampuni ya TBL Group imeunga mkono mradi wa kuendeleza elimu jijini Dar es Salaam ambapo mwishoni mwa wiki imewanunulia tiketi wafanyakazi wake  ili waoshe magari yao ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rotary Club ya Mikocheni  kuchangia fedha za  kununua vitabu vya  maabara ya shule ya msingi Mkunguni iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 

Uoshaji wa magari ni moja ya njia iliyotumika kuchangia mradi huo ambapo walionunua tiketi hizo za mchango walipata fursa ya kuoshewa magari yao katika gereji ya Auto experts Tanzania  iliyopo jijini.
Mchango wafanyika kupitia wafanyakazi wake kuoshewa magari yao

Related

Kijamii 5728205823159875199

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item