WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSU MTANGAMANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSU MTANGAMANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Makongoro Nyerere (katikati) akizungumza katika mkutano na waand...

Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Makongoro Nyerere (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na progamu maalum wanayotaraji kuianza ya kuelimsha umma kuhusu fursa zilipo katika mtengamano wa jumuia hiyo. Pamoja nae ni wabunge wa Bunge hilo, Abdula Mwinyi (kulia) na Shy Rose Bhanji.
Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Makongoro Nyerere (k​ulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na progamu maalum wanayotaraji kuianza ya kuelimsha umma kuhusu fursa zilipo katika mtengamano wa jumuia hiyo. Pamoja nae ni wabunge wa Bunge hilokutoka kushoto, Nderakindo Kessy, Maryan Ussi na Shy Rose Bhanji 
wabunge wa Bunge hilo la EALA kutoka kushoto, Twaha Musa Taslima, Nderakindo Kessy na Maryan Ussi wakifuatilia taarifa ya mwenyekiti katika mkutano huo. 
Wabunge wanawake kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, Nderakindo Kessy, Maryan Ussi na Shy-Rose Banji wakiwa katika mkutano huo.
 Waandishi wa habari wakifuatia mkutano huo wa Wabunge wa Afrika Mashariki.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka kulia, Abdulah Mwinyi, Makangoro Nyerere ambaye ndiye mwenyekiti, Shy-Rose Bhanji na Maryam Ussi wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi wa habari. 
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Abdulah  Mwinyi (kulia) aakifafanua jambo kwa  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na progamu maalum wanayotaraji kuianza ya kuelimsha umma kuhusu fursa zilipo katika mtengamano wa jumuia hiyo. Pamoja nae kutoka kulia  ni Mwenyekiti wa Wabunge hao, Makongoro Nyerere na  Shy Rose Bhanji.
 Mbunge wa Bunge la EALA, Adam Kimbisa (kulia) akizungumza katika mkutano huo. Wengine kutoka kushoto ni  Bernard Murunya, Abdulah Mwinyi, Makongoro Nyerere (Mwenyekiti), Shyrose Bhanji, Maryam Ussi, Nderakindo Kessy na Twaha Taslima.
 Mbunge Shyrose Banji (kulia) akifafanua jambo. Wengine ni Nderakindo Kessy na Maryan Ussi wote wabunge wa Bunge hilo. 
 Wabunge Shyrose Bhanji na Maryan Ussi wakizungumza jambo baada ya mkutano huo jijini Dar es Salaam leo. 


 Mwanahabari kutoka Uhuru FM akipiga selfie na Wabunge wa EALA, Shyrose Bhanji na Maryan Ussi. 
Wa bunge hao wakiondoka katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo baada ya kumaliza kwa mkutano wao na waandishi wa habari. 

Related

Kimataifa 423719172711307869

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item