Wafanyakazi TBL Group watunukiwa tuzo ya kutambua mchango wao kwa kampuni | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi TBL Group watunukiwa tuzo ya kutambua mchango wao kwa kampuni

  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni TBL Group, Roberto Jarrin    akiongea na wafanyakazi        wakati wa   hafla ya    utoaji wa tuzo ya    kut...

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni TBL Group, Roberto Jarrin  akiongea na wafanyakazi    wakati wa hafla ya  utoaji wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller Africa, Mark Bowman akiongea na wafanyakazi na TBL Group wakati wa  hafla ya  utoaji wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam 
 
 Baadhi ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo  
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP ,Roberto Jarrin ( kushoto) akimkabidhi  Raphody Mwakajinga kikombe cha ushindi kwa idara yao kufanya vizuri wakati wa hafla hiyo. 
 Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (wa pili kushoto) na  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller  kanda ya Afrika, Mark  Bowman ( kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi  Afisa Masoko wa kampuni ya Bia Tanzania  Foibe chome,  cheti cha   tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni ya wakati wa hafla iliyofanyika  jana  jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika , Mark  Bowman. 
 Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi  Unice Malle  cheti cha  tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni ya  wakati wa hafla iliyofanyika  jana  jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika , Mark  Bowman.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP ,Roberto Jarrin ( kushoto) na  Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller  Africa, Mark  Bowman ( kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi tuzo ya kutambua mchango wao kwa kampuni .  Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana 
 Washindi wa kwanza wa  Tuzo ya  wafanyakazi  ya  You Make a Difference wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group wakimsikilza  Mkurugenzi  Mkuu wa kampuni hiyo Roberto Jarrin( hayupo pichani) wakati wa  hafla ya  utoaji wa tuzo ya  kutambua  mchango wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama  You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam

Related

Hot Stories 5400058064010449433

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item