WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA | LUKAZA BLOG

WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA

  Mwenyekiti wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko la ...

 Mwenyekiti wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko la Kisutu Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Eqiuality for Growth (EfG).
Mmoja wa kiongozi wa Soko la Kisutu akifungua mkutano wa kampeni hiyo.
Meneja wa Mradi huo kutoka Shirika la Equality for Growth, Grace Mateh akizungumza kwenye kampeni hiyo.
Mfanyabiashara wa Soko hilo, Bazalo Tazoni akizungumza katika kampeni hiyo.
Ofisa Maendeleo wa Kata ya Mchafukoge, Domonica Balama akizungumza katika kampeni hiyo.
Mfanyabiashara katika Soko hilo, Charles Mloka akichangia jambo kwenye kampeni hiyo kuhusu wanawake wafanyabiashara kujitambua kuhusu ukatili wa jinsia masokoni.
Mfanyabiashara Godfred Kijange akichangia kuhusu wanawake kuwa chanzo cha ukatili wa kijinsia.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akizungumzia kuhusu vitendo vya ukatili masokoni.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akiserebuka na wasanii wa kundi la machozi katika kampeni hiyo.
Wasanii wa kundi la machozi wakitoa burudani katika kampeni hiyo.
Taswira katika kampeni hiyo.
Burudani zaidi kutoka kundi la machozi zikiendelea hapo ni Babu na Bibi wakifanya vitu vyao.
Igizo la kupinga ukatili wa kijinsia kutoka kundi la machozi likifanyika.


Mfanyabiashara wa Soko hilo Editha Mtembei akichangia jambo.
Vijana wakishangia kwenye kampeni hiyo.
Picha ya pamoja kati ya viongozi wa soko hilo na viongozi kutoka EfG.

Related

kitaifa 6945231016290766803

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item