WATU WASIOJULIKANA WATUMIA NAMBA YA SIMU YA MBUNGE WA JIMBO LA MOSHI MJINI KUTAPELI. | LUKAZA BLOG

WATU WASIOJULIKANA WATUMIA NAMBA YA SIMU YA MBUNGE WA JIMBO LA MOSHI MJINI KUTAPELI.

  TANGAZO KWA UMMA. Mbunge wa Jimbo  la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) anatoa tahadhari kwa umma ya kuwa kuna baadhi ya watu ...

 
TANGAZO KWA UMMA.

Mbunge wa Jimbo  la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) anatoa tahadhari kwa umma ya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia mbaya wanatumia namba yake ya simu ya mkononi  ya mtandao wa Vodacom kufanya utapeli .

Watu hao wamekuwa wakituma ujumbe mfupi (SMS) kwa watu mbalimbali kwa lengo la kutapeli wakiomba kutumiwa fedha .

Wakati akishughulikia suala hilo katika vyombo vya dola ametoa ombi kwa yeyote atakayepata ujumbe huo kuupuza na kutoa taarifa kwa yeyote atakaye fikwa na kadhia hiyo.

Ukipata ujumbe huu mfahamishe na mwenzako.

Imetolewa na :
Japhary Michael
Mbunge wa Moshi mjini

Related

Hot Stories 9017991278532285795

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item