AFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO AIBUKA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KITAIFA. | LUKAZA BLOG

AFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO AIBUKA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KITAIFA.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilin...

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa
kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa
 kitaifa mkoani Dodoma.

Related

kitaifa 8236387741252355716

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item