Ajali ya Basi la Luxury Coach na Fuso iliyotokea Manyoni yapoteza maisha ya dereva wa lori | LUKAZA BLOG

Ajali ya Basi la Luxury Coach na Fuso iliyotokea Manyoni yapoteza maisha ya dereva wa lori

Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki. Abiria wa basi wote wazima, inaseme...

Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki. Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima. 
Sehemu hii ilipotokea ajali hii inatwa Mbwasa chini ya mlima Sukamahela kuna mteremko mkali na kona kali kama inavyoonekana na mara nyingi madereva wakishamaliza mlima wakiwa wanateremka hua wanaachia breki bila kujali kona ya hapo. 
Baadhi ya abiria waliokuwa kwenye basi ilo wakiwasiliana na ndugu na jamaa yao
Fuso likiwa limetumbukia bondeni

Related

Hot Stories 6153433892411355107

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item