Alikiba apewa siku maalumu nchini Nigeria ikiwa kama ishara ya kukubalika kwake | LUKAZA BLOG

Alikiba apewa siku maalumu nchini Nigeria ikiwa kama ishara ya kukubalika kwake

Kituo kikubwa cha TV Nigeria kimetenga siku maalumu ambayo ilikuwa juzi kwa msanii wa Tanzania Alikiba, Soundcity imeanzisha #Alikib...

Kituo kikubwa cha TV Nigeria kimetenga siku maalumu ambayo ilikuwa juzi kwa msanii wa Tanzania Alikiba,
kibaa
Soundcity imeanzisha #AlikibaDay kwa heshima ya Alikiba ambapo neno hilo linaonekana kwenye screen ya TV kwa siku nzima ya May 21 2016.
Hii ni Post ya meneja wa Ali Kiba Seven Mosha
We still counting down Major Announcements #4 : Exclusive ALIKIBA Day @SoundCityafrica Thank you @SoundCity kwa kumpa heshima hio ya kwanza kwenu kwa kudedicate channel yenu siku nzima kwa @officialalikiba Watanzania wenzetu wamefurahi sana 🇹🇿 #KingSoundCity #Rockstar4000 #SonyMusicAfrica #TheCountDownContinues,”  Seven Mosha kwenye Instagram.
Wiki hii Ali Kiba alitia saini kwenye mkataba wa kampuni ya Sony Music itakayosimamia kazi za Ali Kiba.
Naye Kiba aliandika hivi instagram “Major Worldwide Announcement #3: I’m joining global master celebrity Chef Jamie Oliver and have partnered for an initiative I am very passionate and proud to be associated with. Proud to support Jamie Oliver and to come on board as a Global Champion and Global Ambassador for #FoodRevolution!

Related

Hot Stories 2791437730658163845

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item