BASATA YATAKIWA KUANGALIE NAMNA YA BORA NA KUHAKIKISHA SIKU YA MSANII INAAZIMISHWA NCHI NZIMA | LUKAZA BLOG

BASATA YATAKIWA KUANGALIE NAMNA YA BORA NA KUHAKIKISHA SIKU YA MSANII INAAZIMISHWA NCHI NZIMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizugumza na wadau mbalimbali wa sanaa kati...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizugumza na wadau mbalimbali wa sanaa katika hafla ya uzinduzi wa siku ya msanii, leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu ameiagiza BASATA kuangalie namna bora na kuhakikisha maazimisho ya siku ya Msanii yanaadhimishwa nchi nzima na kwa mafanikio makubwa, pia amesema Makampuni na mashirika mengi yamekuwa yakiwatumia wasanii kwenye kazi zao mbalimbali ni vyema wajitokeze pia kwenye kudhamini maazimisho ya siku ya Msanii na kuzienzi kazi zao.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza akimkaribusha mgeni rasimi katika uzinduzi huo wa siku ya msanii leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wadau mbalimbali wa sanaa waliofika katika uzinduzi wa siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francoise leo jijini Dar es Salaam.

Related

Hot Stories 5161868035647383884

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item