DCM LAPINDUKA NA KUJERUHI WATU KADHAA KATIKA ENEO LA KIPAWA NJIA PANDA YA JET LUMO | LUKAZA BLOG

DCM LAPINDUKA NA KUJERUHI WATU KADHAA KATIKA ENEO LA KIPAWA NJIA PANDA YA JET LUMO

 Baadi ya wasamalia wema wakijaribu kuwaokoa abairia waliokuwa wamepanda gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mbo...

 Baadi ya wasamalia wema wakijaribu kuwaokoa abairia waliokuwa wamepanda gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam baada ya ya kupiduka leo mchana eneo la Kipawa Njia Panda ya Jet Lumo, Dar es salaam. 
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni kumkwepa mwendesha baiskeli. Watu kadhaa wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamelazwa katika hospitali za Amana na Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wananchi wakiliangalia paa la gari hilo lililokatwa kwa kupata urahisi wa kuwatoa majeruhi waliokuwemo kwenye gari hilo
Gari hilo likitarajiwa kuvutwa kuondolewa eneo la tukio

Related

Hot Stories 7465045490172103763

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item