ELIZAYO HB KUTOKA JIJINI MWANZA AIRUDIA NGOMA YA RAYMOND-KWETU KWA USTADI WA HALI YA JUU. | LUKAZA BLOG

ELIZAYO HB KUTOKA JIJINI MWANZA AIRUDIA NGOMA YA RAYMOND-KWETU KWA USTADI WA HALI YA JUU.

Kwetu ni Wimbo unaofanya vizuri nchini na hata nje ya nchini ambapo kwa mara ya kwanza uliimbwa na Msanii Raymond kutoka WCB Wasafi.  ...

Kwetu ni Wimbo unaofanya vizuri nchini na hata nje ya nchini ambapo kwa mara ya kwanza uliimbwa na Msanii Raymond kutoka WCB Wasafi. 

Kutokana na wimbo huo kuwa na mashairi mazuri pamoja na melodi yenye kuvutia, Msanii Elizayo HB kutoka Jijini Mwanza ameurudia wimbo huo na kuuongezea ladha ambayo inaufanya kuwa wimbo bora uliorudiwa kwa sasa nchini.

"Nimeamua kuurudia wimbo huu kwa sababu umebeba ujumbe mzito ambao ulinigusa na kuamua kuurudia kwa njia zangu za pekee ili watanzania wayasikie maneno vizuri pasipo na shaka". Elizayo HB ameiambia BMG.

Hakika Elizayo HB ameutendea haki wimbo huo ambayo umerekodiwa katika Studio za Brother's Music Jijini Mwanza, kwa ushirikiano wa producers Adof pamoja na Doncha Master. Bonyeza HAPA Kusikiliza Au Play Hapo Chini.


Related

Burudani 766577881296365579

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item