GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUSABABISHA MAJERUHI WATATU | LUKAZA BLOG

GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUSABABISHA MAJERUHI WATATU

Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka  (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha ma...


Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka  (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi  
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga  kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya  Saa 2 usiku jana  eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam  PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA

Related

Hot Stories 7857809388274121940

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item