HIvi ndivyo Papa Wemba alivyolazwa katika Nyumba yake ya Milele huko Kinshasa | LUKAZA BLOG

HIvi ndivyo Papa Wemba alivyolazwa katika Nyumba yake ya Milele huko Kinshasa

Mamia kwa maelfu ya mashabiki walijitokezasiku ya jana Jumatano kumzika mwanamuziki mkongwe wa DRC, Papa Wemba. Wemba, aliyezaliwa k...

Mamia kwa maelfu ya mashabiki walijitokezasiku ya jana Jumatano kumzika mwanamuziki mkongwe wa DRC, Papa Wemba.
Wemba, aliyezaliwa kwa jina la Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba huko Lubefu enzi za utawala wa Wabelgiji, alianguka na kupoteza maisha wakati alipokuwa akitumbuiza jukwaani kwenye tamasha nchinni Ivory Coast, April 24. Alikuwa na miaka 67.

Mwili wake uliagwa kwa siku tatu kwenye jengo la bunge la nchini hiyo mjini Kinshasa.

Makumi kwa maelfu pia walikusanyika mtaani mbele ya kanisa la Notre Dame du Congo Cathedral ambako misa ya mazishi ilifanyika. “Papa Wemba siku zote amekuwa idol wangu,” alisema JB Mpiana, kiongozi wa kundi la Wenge Musica.

Related

Kimataifa 9151150510117140763

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item