Kampuni ya teksi ya Uber kuingia Tanzania na Uganda | LUKAZA BLOG

Kampuni ya teksi ya Uber kuingia Tanzania na Uganda

Image copyright GETTY IMAGES Image caption Teksi za Uber Kampuni ya Teksi za Uber imesema kuwa itaanzisha huduma zake katika miji ya Ghana...


Image copyrightGETTY IMAGES
Image captionTeksi za Uber
Kampuni ya Teksi za Uber imesema kuwa itaanzisha huduma zake katika miji ya Ghana,Tanzania na Uganda katika kipindi cha mwezi mmoja kulingana na chombo cha habari cha AFP.
Uber tayari imeanzisha huduma zake katika mataifa tisa ya jangwa la Sahara ikiwemo Nigeria,Afrika Kusini na Kenya.
Meneja mkuu wa kampuni hiyo Alon Lits wa eneo la jangwa la Sahara barani Afrika amesema kuwa kampuni hiyo pia inapanga kuanzisha mfumo wa kulipa pesla taslimu nchini Afrika Kusini,ikiongezea mfumo wake wa kielektroniki wa kufanyia malipo.
Biashara za Uber teksi ziliongezeka nchini Kenya ,ambapo watu wengi hawatumii kadi za kielektroniki kufanya malipo baada ya malipo ya pesa taslimu klkubalika.

Related

Biashara 6281508058968086147

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item