Leicester walivyokabidhiwa kombe lao la Kwanza la BPL May 7, 2016 | LUKAZA BLOG

Leicester walivyokabidhiwa kombe lao la Kwanza la BPL May 7, 2016

 Klabu ya Leicester City ambao ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu Uingereza, May 7 2016 baada ya mchezo dhidi ya Everton katika uwanja wao wa...

 Klabu ya Leicester City ambao ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu Uingereza, May 7 2016 baada ya mchezo dhidi ya Everton katika uwanja wao wa King Power ulio malizika kwa Leicester City kushinda kwa 3-1, walikabidhiwa Kombe lao la kwanza la Ligi Kuu Uingereza baada ya wiki iliyopita Tottenham Hotspurs kutoa sare ya 2-2 na Chelsea, hivyo Leicester ikatwaa taji hilo moja kwa moja.
Kombe la kwanza la Ligi Kuu kwa klabu ya Leicester City iliyoanzishwa miaka 132 iliyopita, lakini pia hili ndio taji la kwanza la Ligi Kuu kwa kocha wao Claudio Ranieri ambaye amewahi kuvifundisha vilabu ya Napoli, Inter Milan, Chelsea, Atletico Madrid na Juventus bila kuvipa taji la Ligi Kuu.

Related

Michezo 4290149757347679499

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item