MADAKTARI WAPATA MAFUNZO YA KUREKEBISHA MIGUU ILIYOPINDA | LUKAZA BLOG

MADAKTARI WAPATA MAFUNZO YA KUREKEBISHA MIGUU ILIYOPINDA

 Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dk.Richald Gellman  kutoka Califonia - San Fransisco Marekani (kushoto), akiwaonesha kifaa Chuma,...


 Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dk.Richald Gellman  kutoka Califonia - San Fransisco Marekani (kushoto), akiwaonesha kifaa Chuma, maalumu kinacho tumika kufanya marekebisho ya mifupa iliyo pinda baada ya kuunga vibaya au kutounga kabisa,   madaktari  mbalimbali kutoka nchi mbalimbali , Kenya, Burundi, Rwanda, Zambia, DRC Congo, Nigeri, Zimbabwe na wenyeji wao Madaktari wa Taasisi hiyo  wamehudhuria Mkutano huo utakaomalizika  Juni 3, 2016 , unaendelea katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa  Ubongo na Mifupa ya Fahamu Muhimbili (MOI) Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Pichani ni baadhi ni vifaa
 Madaktari Bingwa wakiwa katika chumba cha mikutano katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi
Mmoja wa Maktari Bingwa wa Taasisi hiyo mwenye miwani mbele Dk. Moonlight Mnyenye akiandika jambo wakati wa mkutano huo

Related

Afya 1326194806105459717

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item