MDAU OTHMAN MANGUBE NA MKEWE BI MARIAM WAWASHUKURU WADAU,WASHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA NDOA YAO | LUKAZA BLOG

MDAU OTHMAN MANGUBE NA MKEWE BI MARIAM WAWASHUKURU WADAU,WASHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA NDOA YAO

Pichani Mdau Othman Mangube akiwa sambamba na mkewe Bi Mariam Swedy wakiwa katika nyuso za furaha,mara baada ya kufunga ndoa yao hapo mwa...

Pichani Mdau Othman Mangube akiwa sambamba na mkewe Bi Mariam Swedy wakiwa katika nyuso za furaha,mara baada ya kufunga ndoa yao hapo mwaka jana,ambapo leo Wanamshukuru Mungu kwa kuvuka milima na mabonde mengi katika mazingira tofauti tofauti ya maisha na sasa Wanatimiza mwaka mmoja wa Ndoa yao,ambayo wao bado wanaamini ni changa,lakini kwa rehma na baraka za Mwenyezi Mungu atawasimamia na kuwaongoza katika mstari ulio nyoofu na kuwafikisha miaka mingi zaidi.

"Pia tunawakia heri ndugu jamaa na marafiki popote pale mlipo,tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu mlioutoa wakati wa kuifanikisha ndoa hii,nawashukuru sana na tuendelee na ushirikiano huo,sina cha kuwalipa lakini Mwenyezi Mungu atawalipa zaidi."Asanteni sana
Bwana Othman Mangube akiwa na Mkewe Bi Mariam Swedy katika pozi la picha

Related

Kijamii 3521272974692840023

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item