MISS TANZANIA USA AEESHA KAMARA ATEMBELEA HIGHLAND NURSERY SCHOOL, TABATA, JIJINI DAR | LUKAZA BLOG

MISS TANZANIA USA AEESHA KAMARA ATEMBELEA HIGHLAND NURSERY SCHOOL, TABATA, JIJINI DAR

Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akigawa penseli, vikiwemo vitabu, mabegi ya kubebea vitabu na vitu vingine mahitaji ya shule hiyo...

Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akigawa penseli, vikiwemo vitabu, mabegi ya kubebea vitabu na vitu vingine mahitaji ya shule hiyo ya vidudu ya Highland Nursery school iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam. Vitu hivyo vilitolewa msaada na wadau kutoka Washington, DC.
Miss Tanzania USA Pageant, Aeesha Kamara akigawa mabegi ya kubebea vitabu kwa watoto wa Highland Nursery School ya Tabata jijini Dar es Salaam,
Miss Tanzania USA Pageant akiongea na watoto hao wa shule ya Highland Nursery School ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Highalnd Nursery school wakiwemo walimu wao.
 Watoto wakimsikiliza Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara (hayupo pichani) alipokua akiongea nao.
Watoto wakitega sikio kwa makini kumsikiliza Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara (hatyupo pichani) alipokua akiongea nao,

Related

kitaifa 2565303044642027336

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item