News Alert:Van Gaal atimuliwa rasmi Man U | LUKAZA BLOG

News Alert:Van Gaal atimuliwa rasmi Man U

Daily Mail limeripoti kwamba klabu ya Manchester United imemfuta kazi rasmi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Louis van Gaal ikiwa ni siku mb...

Daily Mail limeripoti kwamba klabu ya Manchester United imemfuta kazi rasmi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Louis van Gaal ikiwa ni siku mbili tu tangu Mdachi huyo awape ubingwa wa kombe la FA baada ya kuwafunga Crystal Palace 2-1.

Sababu kubwa za kufutwa kwake kazi ni kutofikia malengo ya klabu hiyo kwenye msimu huu wa ligi uliomalizika. Nafasi ya Van Gaal itazibwa na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho.

Van Gaal amefukuzwa pamoja na jopo lake lote akiwemo msaidizi wake Albert Stuivenberg na kocha wa makipa Frans Hoek.

Related

Michezo 6754755906169953930

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item