News Alert:Wabunge saba wa upinzani kutohudhuria vikao vya bunge | LUKAZA BLOG

News Alert:Wabunge saba wa upinzani kutohudhuria vikao vya bunge

Wabunge saba wa upinzani wapewa adhabu baada ya kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwakuta na hatia ya kusimama na kuomba mio...

Wabunge saba wa upinzani wapewa adhabu baada ya kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwakuta na hatia ya kusimama na kuomba miongozo bila kufuata taratibu na kanuni za Bunge.
Adhabu zilizotolewa:

Tundu Lissu na Ester Bulaya hawatashiriki vikao vyote vilivyosalia vya mkutano wa tatu, pamoja na vikao vyote vya mkutano wa nne.
Pauline Gekuli, Godbless Lema, Zitto Kabwe na Halima Mdee hawatahudhuria vikao vyote vya mkutano wa tatu.
John Heche ambaye adhabu yake ni kutoshiriki kwenye vikao 10 mkutano wa tatu

Related

Hot Stories 736926757224863013

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item