OFISI ZA ARDHI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA KICHEFUCHEFU,WAHUSIKA CHUKUENI HATUA | LUKAZA BLOG

OFISI ZA ARDHI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA KICHEFUCHEFU,WAHUSIKA CHUKUENI HATUA

Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza ,nani ofisi nyeti sana katika halmashauri...

Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza ,nani ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo ,jambo la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano wa mbele ni ofisi nzuri sana lakini kwa muonekano wa nyuma ni aibu ,mazingira yake si rafiki na huduma zitolewazo katika ofisi hizo-Swali wahusika wanalijua hilo ua bajeti ya ukarabati haipo sawa sawa.Picha EmanuelMadafa-Jamiimojablogu)
Muonekano wa mbele ofisi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya.
Muonekano wa Nyuma Ofsi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya ,madirisha yakiwa yamewekewa Mabati na nyavu za muda mrefu ambazo zimeshika kutu,inasikitisha sana nadhani hili ni jipu lililo komaa,cha kusikitisha zaidi ndani ya jengo hilo zipo pia ofisi za Mbunge wa Mbeya mjini.
Ni jambo la aibu kwa jiji kama la mbeya kuwa na ofis mbovu kiasi hiki .

Related

kitaifa 3329785703367617346

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item