Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine | LUKAZA BLOG

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine

May 23 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi wawili wa serikali, taarifa iliyotolew...

Kabla ya Uteuzi huo,  Gerson J. Mdemu alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri (Cabinet Clerk), Mdemu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Tulia Ackson ambaye amechuguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Profesa Longinus Rutasitara kuwa Mshauri wa Rais, masuala ya uchumi. Kabla ya uteuzi huo Profesa Longinus Rutasitara alikuwa Mhadhiri wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam na uteuzi huu umeanza mara moja.

Related

Hot Stories 8799603215484452451

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item