RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA HAPA TANZANIA. | LUKAZA BLOG

RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA HAPA TANZANIA.

 RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU  ANDREW NICKY SANGA Ndugu zetu pamoja na Marafiki; Kwa niaba ya Familia ya Bwana N...

 RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA
WETU 
ANDREW NICKY SANGA


Ndugu zetu pamoja na Marafiki; Kwa niaba ya Familia ya
Bwana Nicky Amon Sanga, Kamati ya Maandalizi inapenda kuwajulisha Ratiba ya Safari ya Mpendwa wetu ANDREW NICKY SANGA hapa Tanzania kuanzia kuwasili kwa mwili wa Marehemu hadi tutakapomweka kwenye nyumba yake ya Milele.
Muda
Tukio
Mahali
Wahusika
DAR ES SALAAM
Jumanne 3 Mei 2016
3:55 Usiku
Mwili kuwasili
Uwanja wa Ndege: Julius Nyerere
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote
4:30-5:30 Usiku
Kuelekea Kuhifadhi Mwili
Hospitali ya Taifa Muhimbili
Familia, Ndugu na Marafiki na Jamaa Wote
Jumatano 4 Mei 2016
4:00-6:00 Asubuhi
Ibada ya Kuaga
Kanisa la Kilutheri Ubungo (Nyuma ya Ubungo Plaza)
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote.
6:30 Mchana
Safari ya Kuelekea Dodoma
Kanisa la Kilutheri Ubungo
Wote Waliojiandaa.
DODOMA
5:00:-6:00 Asubuhi
Chakula
Nyumbani- Kizota
Waombolezaji Wote
6:00
Kuelekea Uwanja wa Mashujaa

Waombolezaji Wote
6:30-7:20 Mchana
IBADA
Uwanja wa Mashujaa
Waombolezaji Wote
7:30-8:45 Mchana
Heshima za Mwisho
Uwanja wa Mashujaa
Waombolezaji Wote
8:46 Mchana
Kuelekea Makaburini

Waombolezaji Wote
9:20 Mchana
Mazishi
Makaburi ya Hijra Chinangali
Waombolezaji Wote
Familia inazidi kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa
jinsi mlivyokuwa pamoja nasi tangu mwanzo wa tukio hili hadi sasa. Mungu wa Mbinguni Awabariki Sana.BWANA Ametoa, BWANA Ametwaa, Jina la BWANA Lihimidiwe.

Imetolewa na Dr. George Longopa
KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar es SalaamSimu 0754 870969

Related

kitaifa 1735588883688516433

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item