SERIKALI YATAKIWA KUAJIRI MAAFISA UHAMIAJI WENYE ELIMU YA UONGOZI WA UTALII | LUKAZA BLOG

SERIKALI YATAKIWA KUAJIRI MAAFISA UHAMIAJI WENYE ELIMU YA UONGOZI WA UTALII

Mbunge wa jimbo  la Arumeru magharibi Gibson Olemeiseyeki akipata maelekezo ya huduma   zinazotolewa na kampuni ya utalii OSUPUKO nature Pa...

Mbunge wa jimbo la Arumeru magharibi Gibson Olemeiseyeki akipata maelekezo ya huduma  zinazotolewa na kampuni ya utalii OSUPUKO nature Paradise(picha na maktaba)
 
Na Woinde Shizza, Arusha


SERIKALI Imetakiwa kuajiri maafisa uhamiaji ambao wanayo   elimu ya uongozi wa Utalii ili kuweza kuwa pokea wageni wanatoka nje ya
nchi vizuri kulingana na taaluma. 
Hayo yamebainishwa na mbunge wa jambo la Arumeru  magharibi Olemeiseyeki Gibson Blasius wakati jana wakati alipokutana akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na nini kifanyike ili wageni wengi wa tembelee nchi yetu kuangalia vivutio vilivyopo.


Alisema kuwa serekali inatakiwa kuajiri maafisa uhamiaji  haswa wanaokaa katika viwanja vya ndege wenye elimu ya utalii  ili  kuweza kuwa pokea wageni wanaoingia Hapa nchini kwa kwa ukarimu na  kwakufuata taaluma ya utalii.


"unajua maafisa uhamiaji waliopo katika viwanja vyetu vya  ndege baadhi awana taaluma Nzuri kwani Unakuta afisa uhamiaji anampokea  mgeni kama mpwa au mualifu haliinayofanya mgeni ajisikie Vibaya mno hali inayofanya akarudi kwa o akayangaze nchi yetu Vibaya" Alisema  Olemeseyeki


Aidha Alibainisha kuwa mbali na hivyo pia serekali  inatakiwa kutoa maelezo ya vitu ambavyo mgeni anatakiwa a fanye kabla ya kufika Hapa nchini ili kupunguza ukumbufu ambao Unaweza kujitokeza.


"tukiangalia mfano hii sindano ya yellow fiva Unakuta  mzungu kaja kaanza kunywa vidonge vya kuzuia malaria miezi mitatu nyuma  kabla ajaja sasa anafika apa analazimishwa kuchomwa sindano kitu ambacho sio aki na sasavunakuta apobakilazimishwa ndio Unakuta inamlazimisha  atoe rushwa ili apite ili mraw di tu asipigwe iyosindano"alisema  Olemeseyeki


Alitaka serekali kuzisafisha viwanja vyote Vya ndege kwa  kuajiri watu wenye elimu na watakao pokea wageni vizuri tangu anaposhuka kwenye aridhi ya tanzania na kubainisha kuwa ukimpokea mgeni vyema basi pale Atakapoondoka Hapa chini ataenda kutangaza nchi yetu na vivutio  vyema hali ambayo itasaidia kupata watalii wengi wanaokuja kuangalia  vivutio vilivyopo Hapa nchini.


Aidha Alizitaka Mamlaka husika ikiwemo Hifadhi za Taifa
(TANAPA), pamoja Hifadhi  ya Taifa  Ngorongoro  kuboresha miundombinu
Ikiwemo vibanda vya kulia chakula mgeni akiwa ifadhini pamoja na kuweka
madawati maalumu ambayo atupeleke ma tatizo au Shida ambayo utamkuta
pindi anapokuwa Hifadhi na kujibiwa kwa haraka na wakati.

Related

Hot Stories 1661400998583976673

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item