TAMASHA LA KUSAKA VIPAJI VYA UTANGAZAJI LA "HHC ALIVE TALENT SEARCH" JIJINI MWANZA LAIBUA VIPAJI VIPYA. | LUKAZA BLOG

TAMASHA LA KUSAKA VIPAJI VYA UTANGAZAJI LA "HHC ALIVE TALENT SEARCH" JIJINI MWANZA LAIBUA VIPAJI VIPYA.

Kushoto ni Meneja wa kituo cha Radio cha 91.9 HHC ALIVE cha Jijini Mwanza,  Maganga James Gwensaga , akizungumza katika tamasha la kusaka...

Kushoto ni Meneja wa kituo cha Radio cha 91.9 HHC ALIVE cha Jijini Mwanza, Maganga James Gwensaga, akizungumza katika tamasha la kusaka Vipaji vya Utangazaji (HHC ALIVE TALENT SEARCH 2016) lilizofanyika katika Kanisa la HHC Cathedral, Ilemela Mkoani Mwanza.

Watangazaji chipukizi, Hellen Jerome, Ibrahim Mgaya pamoja na Deophinius Salvatory, wameibuka kidedea katika tamasha la kusaka Vipaji vya Utangazaji lililoandaliwa na kituo cha redio cha 91.9 HHC Alive cha Jijini Mwanza. Picha zaidi BONYEZA HAPA

Related

Hot Stories 766156309809490668

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item