Tani 4579 za sukari zakamatwa Zikiwa zimefichwa Jijini Dar Es Salaam | LUKAZA BLOG

Tani 4579 za sukari zakamatwa Zikiwa zimefichwa Jijini Dar Es Salaam

Zaidi ya tani 4,579 za sukari zimekamatwa jijini Dar es Salaam baada ya Rais Dkt John Magufuli kuviagiza vyombo vya dola kufanya msako w...


Zaidi ya tani 4,579 za sukari zimekamatwa jijini Dar es Salaam baada ya Rais Dkt John Magufuli kuviagiza vyombo vya dola kufanya msako wa kuwabaini wafanyabiashara wanaoficha sukari kwa makusudi ili kupandisha bei ya bidhaa hiyo.
Kwa mujibu wa TBC One, taarifa ya Mkurugenzi wa Utafiti wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU, imebaini uwepo wa sukari iliyonunuliwa kutoka kiwanda cha sukari cha Kilombero na kufichwa katika maghala mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Mfanyabiashara huyo ameficha sukari hiyo Mbagala na Tabata na kuwafanya wafanyabiashara wa reja reja kuikosa.

Related

Hot Stories 7600303179153462758

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item