Tetesi: Kuna mfanyabiashara akamatwa na tani 4900 za Sukari Mbagala | LUKAZA BLOG

Tetesi: Kuna mfanyabiashara akamatwa na tani 4900 za Sukari Mbagala

Kuna taarifa inasema kuwa kuna Mfanyabiashara mmoja akamatwa na tani 4,900 za sukari huko Mbagala, Dar na kikosi kazi kilichoundwa kufany...

Kuna taarifa inasema kuwa kuna Mfanyabiashara mmoja akamatwa na tani 4,900 za sukari huko Mbagala, Dar na kikosi kazi kilichoundwa kufanya upekuzi kwa wafanyabiashara walioficha sukari. Tunaendelea kufuatilia tukio hili na tutawajulisha

Related

Hot Stories 8149576397739168515

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item