Ufunguzi wa Mashindano ya Copa Coca Cola Umiseta Mkoani Kilimanjaro wafana | LUKAZA BLOG

Ufunguzi wa Mashindano ya Copa Coca Cola Umiseta Mkoani Kilimanjaro wafana

  Wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Coca Cola   Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya...

 
Wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Coca Cola
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akijiandaa kupiga mpira wa penati wakati akizindua michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA) kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick(kulia)akipokelewa na  Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk alipowasili kuzindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akipokea zawadi ya mpira wa miguu kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk baada ya kuzindua michezo ya Shule za Sekondari( COPA UMISSETA) kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola,wanaoshuhudia ni viongozi mbalimbali wa michezo.
Mkuu wa Masoko wa kiwanda cha Coca Cola cha mjini Moshi ,Christopher Loiruk  akielezea udhamini wa mashindano hayo

Related

Michezo 6446550579235292751

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item