Uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA Copa Coca Cola wafana | LUKAZA BLOG

Uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA Copa Coca Cola wafana

  Ofisa Masoko Msaidizi wa Coca Cola    Mariam Sezinga akizungumzia udhamini wa mashindano haya   Mkuu wa mkoa akipiga mpira kuashiri...

 Ofisa Masoko Msaidizi wa Coca Cola  Mariam Sezinga akizungumzia udhamini wa mashindano haya
 Mkuu wa mkoa akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano hayo
 Mratibu Michezo kutoka TAMISEMI, Idara ya Elimu nchini, Salum Mkuya
 Umati wa wanafunzi waliohudhuria
 wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kwa niaba ya shule zao
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na burudani za kila aina zilikuwepo.

Related

Michezo 8288838592065391359

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item