Wafanyakazi TBL Group wapima afya zao | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi TBL Group wapima afya zao

Wafanyakazi wakipima afya zao katika zoezi hilo Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi w...

Wafanyakazi wakipima afya zao katika zoezi hilo
Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake  ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni  lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za wafanyakazi kiafya pamoja na familia zao.Zoezi  hili limefanyika katika kiwanda cha TBL  kilichopo jijini Dar es salaam.

Related

Hot Stories 7476679502877486366

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item