WARSHA YA KUPATA MREJESHO WA RASIMU YA KWANZA YA MPANGO WA UJUMLA WA KUSIMAMIA HIFADHI YA TAIFA YA KATAVI YAFANYIKA MKOANI KATAVI. | LUKAZA BLOG

WARSHA YA KUPATA MREJESHO WA RASIMU YA KWANZA YA MPANGO WA UJUMLA WA KUSIMAMIA HIFADHI YA TAIFA YA KATAVI YAFANYIKA MKOANI KATAVI.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi ,Meja Jenerali Mstaafu,Raphael Muhuga akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Warsha ya kupata mrejesho wa rasimu ya k...

Mkuu wa Mkoa wa Katavi ,Meja Jenerali Mstaafu,Raphael Muhuga akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Warsha ya kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa ujumla wa usimamizi wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
Baadhi ya washiriki wa Warsha hiyo wakiwemo Wahifadhi,Kamati za ulinzi na usalama,maofisa watendaji na wenyeviti wa vijiji.
Mkuu wa Wilaya ya Mlele inayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Katavi,Kanali Mstaafu Issa Njiku akizungumza wakati wa warsha hiyo ya siku moja.
Baadhi ya Washiriki wa warsha hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Paza Mwamlima akizungumza katika Warsha hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati warsha ya  kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa ujumla wa usimamizi wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika warsha hiyo.
Baadhi ya washiririki wa Warsha hiyo.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi John Gara akiwasilisha mada wakati wa Warsha hiyo.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutoka makao makuu wakifuatilia  michango ya wachangiaji mada katika warsha hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini aliyekua mkoani Katavi.

Related

kitaifa 4295807150390912757

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item