Andy Murray arejea kwa Ivan Lendl | LUKAZA BLOG

Andy Murray arejea kwa Ivan Lendl

Image copyright REUTERS Image caption Andy Murray Mchezaji Tenisi Andy Murray hatimaye anaungana tena na kocha wake wa zamani Ivan Lendl k...


Image copyrightREUTERS
Image captionAndy Murray
Mchezaji Tenisi Andy Murray hatimaye anaungana tena na kocha wake wa zamani Ivan Lendl kabla ya michuano ya Aegon .
Murray mwenye miaka 29, amekuwa bila kocha huyo muda mfupi kabla ya kuanza kwa michuano ya wazi ya ufaransa mwezi uliopita.
Mskoti huyo akiwa na kocha Ivan Lendl alishinda michuano ya wazi ya Wimbledon na Michuano ya wazi ya Marekani ya Olimpiki katika kipindi cha miaka miwili 2012-2014.
Lendl ni mshindi namba moja duniani na mshindi wa wa mara nane wa Grand Slam na amekuwa mtumishi katika chama au shirikisho la Tenisi la Marekani.Chanzo BBC Swahili

Related

Michezo 5171457451577735106

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item