Ashtakiwa kwa kumtusi rais Magufuli mtandaoni | LUKAZA BLOG

Ashtakiwa kwa kumtusi rais Magufuli mtandaoni

Image caption Magufuli Raia mmoja wa tanzania anakabiliwa na mashtaka baada ya kusambaza maoni yake kwenye mtandao wa WhatsApp akimuita ra...


Image captionMagufuli
Raia mmoja wa tanzania anakabiliwa na mashtaka baada ya kusambaza maoni yake kwenye mtandao wa WhatsApp akimuita rais John Pombe Magufuli mpumbavu.
Mulokozi Kyaruzi ameshtakiwa chini ya sheria ya uhalifu wa mtandaoni.
Ni mtu wa pili kushtakiwa chini ya sheria hiyo kwa kumtusi rais.
Sheria hiyo ilikosolewa sana kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza wakati ilipoanzishwa mwaka uliopta.
Hivi ndivyo alivyoandika:''Kwani rais Magufuli hana washauri?haushauriki? Ama ni mjinga tu?Ni Mpumbavu sana;Haangalii sheria iliopo kabla ya kufungua mdomo ama anaugua ugonjwa wa Mnyika''?
Jina Mnyika lililotajwa ni la Mbunge John Mnyika nchini humo ambaye anajulikana kwa kuzungumza sana.Chanzo BBC Swahili

Related

Hot Stories 8506610037042040174

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item