Green House inauzwa..Wahi sasa | LUKAZA BLOG

Green House inauzwa..Wahi sasa

 Green house kutoka balton zina ukubwa wa mita 9 kwa mita 15, Ni za chuma na zinadumu kwa miaka muda sio chini ya miaka 15, Ni Imara sa...

 Green house kutoka balton zina ukubwa wa mita 9 kwa mita 15, Ni za chuma na zinadumu kwa miaka muda sio chini ya miaka 15, Ni Imara sana

Kwa kilimo cha uhakika na cha kisasa unahitaji Green House kama hii ambayo inauzwa bei nzuri tu

Ukinunua hii utafungiwa mahali popote utakapo wewe mteja na pia utapatiwa ushauri wa kitaalamu na utalekezwa vizuri kuhusiana na muda mzuri wa uzalishaji na maelezo kedekede

Green House iliyotengenezwa kwa vyuma na kufunikwa kwa plastic sifa yake moja tu inaweza kuhamishika kutokana na mahitaji yako lakini pia Ina Uwezo mkubwa wa kuzalisha mazao hivyo kukusaidia kurudisha pesa  yako ndani ya msimu mmoja wa kuzalisha lakini pia hutumia gharama ndogo katika  uzalishaji wa  mazao. 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii +255 767111297

Related

Hot Stories 8616071648183313014

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item