Hazina Waanzisha Blog yao Kwaajili ya kuwafikia wateja wao zaidi | LUKAZA BLOG

Hazina Waanzisha Blog yao Kwaajili ya kuwafikia wateja wao zaidi

Maofisa Mawasiliano wa Wizara ya Fedha na Mipango wakianzisha Blog ya Hazina katika kikao kazi kilichofanyika  Hazina Ndogo mjini Dodoma...

Maofisa Mawasiliano wa Wizara ya Fedha na Mipango wakianzisha Blog ya Hazina katika kikao kazi kilichofanyika  Hazina Ndogo mjini Dodoma leo, ambapo pia waliwashirikisha baadhi ya mablogger maarufu na watalaam wa tehama.
 Mdau wa mitandao ya kijamii kutoka Michuzi Media Group, Ahmad Michuzi akielekeza jambo wakati kikao kazi hizo cha kuanzisha Blogu ya Wizara ya Fedha na Mipango HAZINA BLOG leo.

Related

kitaifa 5416675028499223244

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item