HII NDIO SABABU YA JOCKTAN MAKEKE KUFANYA ALBUM/COLLECTION YA TABID | LUKAZA BLOG

HII NDIO SABABU YA JOCKTAN MAKEKE KUFANYA ALBUM/COLLECTION YA TABID

 THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS (UZURI WA AFRIKA ULIOFICHWA/ GIZANI) Kabla ya kuja wakoloni waafrika tulikuwa na utamaduni wetu...

 THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS
(UZURI WA AFRIKA ULIOFICHWA/ GIZANI)
Kabla ya kuja wakoloni waafrika tulikuwa na utamaduni wetuwenyewe, utamaduni ambao tuliuona kama ni utukufu kwetu, tulikuwa na dini yetu wenyewe  kwa kuabudu miungu mblimbali kama mawe, miti, wanyama na miamba.Tulikuwa na jinsui ya uvaaji wetu wenyewe ambapotulikuwa tukivaa ngozi za wanyamana masalia ya mimea pia, lakini baadaye kidogo tulivamiwa na wageniambao walikujana utamaduni wao mpya na kutakasisituufuate, waliuchukia utamaduni wetu na kuuita ni utamaduni wa kishenzi  yaani usio na maana wala manufaa, taaratibu tukaanza kuwafuata na kuwaamini, leo hii Afrika yetu imetawaliwa na umagharibi kwa kiasi kimkkubwa na tunaona mambo mengi yanayoendelea sasa kutokana na autamaduni huu.

        Lakini cha kujiuliza hivi ni kweli kwamba  utamaduni wetu wa muafrika unakasoro? Sawa zinaweza kuwepo lakini hatuwezi  kusema  utamaduni wetu  haufai!! Kikubwa nilichojifunza ni kwamba utamaduni wa muafrika ni utamaduni wa kipekee na unafaa  kuigwa kwani  kuna mambo  mazuri ndani yake lakini sasa utamaduni wa magharibi ambao ndio giza lenyewe unajitahidi  mno kufunika utamaduni wetu ili usionekane kabisa.Kutokana na  hali hiyo basi ndio nikapata sentensi  hii  “UZURI WA AFRIKA GIZANI”   Kwamba licha ya kufunikwa bado tunajitahidi kuionyesha dunia kuwa tuna mengi ya kujivunia kama waafrika.
 
                                                                        HAMASISHO
        Mitindo hii nimeifanya kutokana na ukweli wa maisha waliyoishi babu zetu kabla ya ukoloni.
        Pia nimefanya kwa kuangalia historia ya mapigano/vita vya wakati huo.
        Aidha nimehamasishwa sana na ule utawala wa zamani wa Mfalme na malkia.
                                   
                                                                             VIFAA
Nguo hizi zitatengenezwa kwa kutumiavifaa mbalimbali ambavyo ni vya kiasili mno kama mimea na masalia ya wanyama, kwa hiyo tutaona ngozi za wanyama, vifuu vya nazi ,  na mabati , ukindu , mikeka na magunio.

Related

Urembo & Fashion 1808077916626724618

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item